Chuo cha biblia kinakutaarifu kuwa masomo ya cheti mwaka 2017-2018 yanaanza tarehe 28.8.2017. Masomo ya cheti ya mwaka mmoja yatakupatia msingi bora wa kibiblia kwa ajili ya maisha yako ya kiroho na huduma. Kuna zaidi ya masomo 30 kufundishwa. kwa taarifa zaidi juu ya ada tafadhari wasiliana na sisi kupitia 0715 797949, 0754 013112.