Kituo cha Biblia cha tumaini kwa mataifa ni kituo cha Biblia cha kikristo kinachofanya chini ya kanisa Rdeemed Gospel Church hapa Tanzania.
Lengo la chuo chetu ni kutoa mafunzo kwa wachungaji wa kikristo na viongozi kwajili ya huduma yenye matunda na kupeleka injili ya Yesu kwa mataifa yote duniani.
